Kikombe
Mandhari
Kikombe (wingi vikombe) ni chombo cha mezani ambacho hutumiwa kunywa vinywaji kama chai au maji kilichotengenezwa kwa udongo wa kauri, madini, bati, chuma n.k.
Toka zamani vyombo hivyo vimepambwa na kuwa sehemu ya sanaa.
Katika Ukristo kikombe kinatumika pia kwa ajili ya divai katika ibada ya ekaristi na kuitwa pengine kalisi.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikombe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |