Kigezo:Karibu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Na ukitaka kupata uzoefu kwanza wa kuweza kuhariri wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Hapo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uumbaji wa makala za wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Hapo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko 2: kamwe lete matini kutoka tovuti nyingine wala picha kutoka tovuti za nje. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate etc.) nor copied texts/images from other webs to this site!