Kifimbocheza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elementi ya kifimbocheza : 1. fimbo, 2. msingi, 3. kisituo, 4. vibonyezo vya ziada, 5. vibonyezo otomatiki, 6. kichapuzi, 7. kidhibiti cha mtazamo , 8. kidude cha kufyonza hewa.

Katika utarakilishi, kifimbocheza (kwa Kiingereza: joystick) ni kifaa cha michezo ya video kilicho kama fimbo inayopinduka ili kudhibiti michezo hiyo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)