Kisituo
Katika utarakilishi na lugha za programu, kisituo (kwa Kiingereza: trigger) ni kifaa cha programu tete kinachoacha amri itekelezwe tukio linapotokea.
Mfano wa kisituo[hariri | hariri chanzo]
Kisituo cha SQL :
CREATE OR REPLACE TRIGGER trigg_example
BEFORE INSERT OR UPDATE ON table_example
FOR EACH ROW
WHEN (new.no_line > 0)
DECLARE
evol_exemple number;
BEGIN
evol_exemple := :new.exemple - :old.exemple;
DBMS_OUTPUT.PUT_LINE(' evolution : ' || evol_exemple);
END;
/
Kisituo cha FireBird :
{CREATE | RECREATE | CREATE OR ALTER} TRIGGER name FOR {table name | view name}
[ACTIVE | INACTIVE]
{BEFORE | AFTER}
{INSERT [OR UPDATE] [OR DELETE] | UPDATE [OR INSERT] [OR DELETE] | DELETE [OR UPDATE] [OR INSERT] }
[POSITION n] AS
BEGIN
....
END
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).