Kidhulishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kidhulishi rangi ya manjano.

Kidhulishi (kwa Kiingereza: highlighter) ni kifaa cha uandishi kinachotumika ili kubainisha kwa rangi angavu sehemu moja ya matini.

Katika utarakilishi, kidhulishi kinaweza kutumika kwenye kichakata matini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).