Nenda kwa yaliyomo

Kibonyezo kibadilishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibonyezo kibadilishi (kulia).

Kibonyezo kibadilishi (kwa Kiingereza: alt(ernate) key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ibadili shughuli ya vibonyezo vingine.

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.