Kibonyezo cha nafasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibonyezo cha nafasi.

Katika utarakilishi, kibonyezo cha nafasi au kibonyezo nafasi (kwa Kiingereza: space bar key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili iweke nafasi kati ya herufi mbili za nakala.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.