Kibonyezo cha kufutia
Katika utarakilishi, Kibonyezo cha kufutia au kibonyezo kufutia (kwa Kiingereza: delete key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ifutie herufi moja katika nakala.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.