Kibonyezo cha kibadalishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kibonyezo cha kibadalishi (kulia).

Kibonyezo cha kibadalishi au kibonyezo kibadalishi (kwa Kiingereza: alt(ernate) key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ibadili shuguli ya vibonyezo vingine.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.