Nenda kwa yaliyomo

Kialemani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo yenye lahaja za Kialemani.

Kialemani (pia: Kijerumani cha Kialemani) ni kundi la lahaja za lugha ya Kijerumani zinazotumiwa na watu milioni 10 katika nchi 6: Ujerumani ya Kusini-Magharibi, Uswisi, Austria, Ufaransa mashariki, Liechtenstein na Italia kaskazini. Katika Uswisi huitwa pia "Kijerumani cha Kiswisi"

Hakuna tahajia inayokubaliwa jinsi ya kuiandika.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialemani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.