Kenan Evren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmet Kenan Evren (17 Julai 1917 - 9 Mei 2015) alikuwa mwanasiasa na afisa wa jeshi wa Uturuki, ambaye aliwahi kuwa Rais wa saba wa Uturuki kutoka mwaka 1980 hadi 1989. Alichukua wadhifa huo kwa kuongoza mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1980.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenan Evren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.