Nenda kwa yaliyomo

Keep On Keepin' On

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Keep On, Keepin' On"
Wimbo wa MC Lyte akishirikiana na Xscape
kutoka katika albamu ya Sunset Park na Bad As I Wanna B
ImetolewaMay 13, 1996
MuundoCD single, 12" single
AinaWorldbeat, southern rap
Urefu4:35
StudioElektra, East West Records
Mtunzi (wa)Lana Moorer, Jermaine Dupri, Michael Jackson
Mtayarishaji (wa)Jermaine Dupri
MC Lyte Wendo wa nyimbo za MC Lyte akishirikiana na Xscape
"I Go On"
(1993)
"Keep On, Keepin' On"
(1996)
"Cold Rock a Party"
(1996)


na tarehe zake
"Can't Hang/Do You Want To"
(1996)
"'Keep On, Keepin' On'"
(1996)
"Am I Dreamin'"
(1997)

"Keep On, Keepin' On" ni single ya MC Lyte akiwashirikisha Xscape kutoka katika kibwagizo cha Sunset Park. Wimbo ulitayarishwa na kusaidia utunzi na Jermaine Dupri na umechukua sampuli ya wimbo wa Michael Jackson wa 1989 "Liberian Girl". Baadaye ukaja kuonekana katika albamu ya tano ya MC Lyte, Bad As I Wanna B.

Wimbo ulikuwa miongoni mwa nyimbo za MC Lyte zilizoshika chati za juu sana nchini Marekani kwa kushika Na. 10 kwenye chati za Billboard Hot 100, pia ukawa wimboi wake wa pili kufanikiwa tunukio la adhabu na RIAA, alipokea tuzo hiyo mnamo tarehe 31 Mei, 1996.

Mwezi Novemba 1996, MC Lyte alitumbuiza kwa kutumia wimbo huu katika msimu wa pili wa ucheshi wa UPN Moesha.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Upande-A

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Keep On, Keepin' On"- 4:33
  2. "Keep On, Keepin' On" (Clean Version)- 4:33

Upande-B

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Keep On, Keepin' On"- 4:33
  2. "Keep On, Keepin' On" (Instrumental)- 4:33
  3. "Keep On, Keepin' On" (Acappella)- 4:31

Chati na tunukio

[hariri | hariri chanzo]

Chati za kila wiki

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1996) Nafasi 

Iliyoshika

Billboard Hot 100 10
Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 3
Billboard Hot Rap Singles 2
Billboard Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales 2
United Kingdom (UK Singles Chart) 27
New Zealand (RIANZ) 18

Chati za mwishoni mwa mwaka

[hariri | hariri chanzo]
Chati za mwisho wa mwaka (1996) Nafasi
U.S. Billboard Hot 100[1] 77
  1. "Billboard Top 100 - 1996". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-01. Iliwekwa mnamo 2010-08-27.