Kate Jacewicz
Katherine Margaret Jacewicz (alizaliwa 6 Aprili 1985) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa Australia. Aliorodheshwa katika orodha ya waamuzi wanawake wa FIFA mnamo 2011.
Kazi ya uamuzi
[hariri | hariri chanzo]Jacewicz alianza kazi yake ya uamuzi akiwa na umri wa miaka 13 wakati timu ya kaka yake ilipohitaji mwamuzi. [1][2]
Baada ya kuteuliwa kuwa mwamuzi wa fainali ya ligi ya W- League mwaka 2019, hii ilikuwa fainali yake ya tisa kati ya misimu kumi na moja ya kwanza ya ligi ya W-League, [3] ambayo ilibadilishwa jina mnamo 2021 kuwa ligi ya A-League Women . [4]
Alikua mwamuzi wa FIFA mnamo 2011, [5] na alikuwa mwamuzi wa fainali ya Kombe la Dunia la FIFA la chini ya miaka 17 mwaka 2016 huko Jordan. [6]
Jacewicz alichaguliwa kuwa mmoja wa waamuzi 27 wa Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2019 . [7] Baada ya kukamilika kwa awamu ya 16, Jacewicz alibakizwa kama mmoja wa waamuzi 11 watakaochezesha mechi kwa muda uliosalia wa mashindano. [8]
Katika msimu wa 2019 - 2020 wa ligi ya A-League Jacewicz alikua mwanamke wa kwanza kuwa mwamuzi wa mechi katika ligi ya A-League, alipochezesha mechi ya Melbourne City dhidi ya Newcastle Jets . [9]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2011 Scholarship Holders - Kate Jacewicz - Football". Australian Sports Commission. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The A-League's first female referee says she doesn't consider herself a trailblazer, yet", Australian Broadcasting Corporation.
- ↑ "Kate Jacewicz to referee the Westfield W-League 2019 Grand Final". Football Federation Australia. 13 Februari 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-13. Iliwekwa mnamo 13 Februari 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "A-Leagues Revealed as Radical New Identity for Australian Football", Australian Football, 29 September 2021. Retrieved on 2023-04-05. Archived from the original on 2022-02-04.
- ↑ "Australia: Referees - Women". FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Juni 2007. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Match Report". FIFA. 21 Oktoba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Oktoba 2016. Iliwekwa mnamo 8 Februari 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kate Jacewicz and Casey Reibelt appointed to 2019 FIFA Women's World Cup match official panel". Football Federation Australia. 4 Desemba 2018. Iliwekwa mnamo 4 Desemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Refereeing - Media briefing" (PDF). FIFA.com. 26 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 26 Juni 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kate Jacewicz to make history as first woman to referee in A-League".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kate Jacewicz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |