Nenda kwa yaliyomo

Katalin Kulcsár

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katalin Kulcsár mnamo 2019

Katalin Anna Kulcsár (alizaliwa 7 Disemba, 1984) ni mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Hungaria. Alichezesha mechi yake ya kwanza ya kimataifa Septemba 2004, kati ya timu ya soka ya wanawake ya Malta dhidi ya Bosnia na Herzegovina. [1] Alichezesha fainali ya Mashindano ya UEFA ya Wanawake chini ya miaka 17 mwaka 2009 .

Baadae alianza kechezesha mecha za soka la wanaume nchini Hungaria, alichezesha mechi ya kati ya BFC Siófok na Honvéd mwaka 2011. [2] Alichaguliwa na FIFA kuwa mmoja wa wamuzi wa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2015 . [3] [4] [5]

Katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake mwaka 2015, Kulcsár aliongoza mechi ya raundi ya makundi kati ya timu ya soka ya wanawake ya Nyuzilandi na China. Mchezo huo uliisha kwa sare ya 2-2 na China kutinga hatua ya mtoano. [6] [7]

  1. "Katalin KULCSAR" (kwa Kifaransa). FIFA. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 17 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ""Szerintük én azért hibázom, mert nő vagyok" - interjú Kulcsár Katalin játékvezetővel", Origo, 1 June 2011. Retrieved on 2023-04-15. (hu) Archived from the original on 2016-08-06. 
  3. "Kulcsár Katalin is utazhat a kanadai női vb-re", MLSZ.hu, 1 April 2015. (hu) 
  4. "22 referees, 7 support referees and 44 assistant referees appointed for FIFA Women's World Cup 2015". FIFA.com. 30 Machi 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Machi 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Referees and Assistant Referees for the FIFA Women's World Cup Canada 2015" (PDF). FIFA.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2 Aprili 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. " NZ Football Ferns out of World Cup amid controversial penalty call," The Guardian, 15 June 2015
  7. "China catches a break in 2-2 draw with New Zealand," LATimes via Associated Press, 15 June 2015
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katalin Kulcsár kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.