Kassym-Jomart Tokayev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kassym-Jomart Kemeluly Tokayev (kwa Kikazakhi: Қасым-Жомарт Кемелұлы Тоқаев, Qasym-Jomart Kemeluly Toqaev; alizaliwa 17 Mei 1953) ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Kazakhstan. Alianza kazi kama rais wa Kazakhstan tarehe 20 Machi 2019 akimrithi Nursultan Nazarbayev ambaye alijiuzulu tarehe 19 Machi 2019 baada ya miaka 29 madarakani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kassym-Jomart Tokayev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.