Kana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kana ya Galilaya katika picha iliyopigwa na Daniel B. Shepp, mwaka 1894.

Kana ya Galilaya (kwa Kigiriki: Κανὰ τῆς Γαλιλαίας) ni kijiji kinachotajwa mara kadhaa na Injili ya Yohane.

Humo tunasoma juu ya miujiza miwili ya Yesu:

Pia kinatajwa kama asili ya Nathanaeli (21:2)[2].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Towner, W. S. (1996), Wedding, in P. J. Achtermeier (Ed.), Harper Collins Bible dictionary (pp. 1205–1206). San Francisco: Harper
  2. Ewing, W. (1915). "Kanah". In Orr, James. International Standard Bible Encyclopedia. http://bibleatlas.org/kanah.htm. Retrieved 2014-05-28.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kana kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.