Justin Shonga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Justin Shonga (alizaliwa 5 Novemba 1996) ni mchezaji wa soka wa Zambia ambaye kwa sasa anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Orlando Pirates iliyopo nchini Afrika Kusini na timu ya taifa ya Zambia.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Orlando Pirates[hariri | hariri chanzo]

Shonga alisaini na upande wa Afrika Kusini mwishoni mwa mwaka 2017 kutoka katika klabu ya Nkwazi F.C. ya Zambia katika nchi yake ya asili na kwenda katika klabu ya Orlando Pirates.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Justin Shonga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.