Nenda kwa yaliyomo

Julian Ryerson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Julian Ryerson (alizaliwa 17 Novemba 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norwei, ambaye anacheza kama winga katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Norwei.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Julian Ryerson". www.bvb.de. Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Ryerson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.