Judith Chime
Judith Nneka Chime | |
Amezaliwa | 28 Mei 1978 Lagos Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji wa mpira wa miguu |
Judith Nneka Chime (alizaliwa Lagos 20 Mei 1978) ni golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Nigeria alicheza katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999 na katika Olimpiki kipindi cha Majira ya joto ya 2000. [1][2][3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Judith Chime - Soccer - Scoresway - Results, fixtures, tables and statistics. scoresway.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-10-24. Iliwekwa mnamo 17 February 2017.
- ↑ BBC SPORT - FOOTBALL - Super Falcons face tough test. bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 17 February 2017.
- ↑ Nigeria Names Olympic Soccer Team (24 August 2000). Iliwekwa mnamo 17 February 2017.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Judith Chime kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |