Joslin
Mandhari
Joslin Robert Mchala | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Majina mengine | Joslin |
Kazi yake | msanii wa muziki |
Joslin (jina halisi anaitwa Joslin Robert Mchala) ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Joslin ni maarufu kwa kutoa zile nyimbo zake ziitwazo "Pafyumu" na "Mshkaji Mmoja hivi" na badaaye kutoa nyimbo nyingine kama vile Niite Basi, Tanzania Vitani n.k.
Joslin ni mwanachama wa kikundi cha Rap na R&B kiitwacho "Wakali Kwanza".
Nyimbo maarufu
[hariri | hariri chanzo]- Pafyum
- Mshkaji Mmoja hivi
- Niite Basi
- Tanzania Vitani
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joslin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |