Josh Bugajski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joshua Bugajski (alizaliwa 5 Oktoba 1990) ni Mwingereza mpiga makasia.

Alishinda medali ya fedha katika nafasi ya nane mwaka 2019 katika mashindano ya mabingwa ya wapiga makasia huko ulaya[1].Alitunukiwa medali ya shaba mwaka 2019 katika mashindano ya dunia ya wapiga makasia huko Ottensheim,Austria katika nafasi ya nane pamoja na Thomas George, James Rudkin, Moe Sbihi, Jackob Dawson, Oliver Wynne-Griffith, Matthew Tarrant, Thomas Ford pamoja na Henry Fieldman.

Mwaka 2021, alitunukiwa medali ya dhahabu huko Varese, Italia.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "GB men's four win gold in Lucerne", BBC Sport (in en-GB), retrieved 2021-12-02 
  2. World Rowing - 2021 European Rowing Championships (en). World Rowing. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.[dead link]
  3. World Rowing - 2021 European Rowing Championships (en). World Rowing. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.[dead link]