Nenda kwa yaliyomo

Josephs Quartzy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Josephs Quartzy
Amezaliwa Joseph Marwa
16 Aprili 1999 (1999-04-16) (umri 25)
Musoma vijijini
Tanzania
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Mwandishi

Joseph Quartzy (amezaliwa 16 Aprili 1999) ni mwigizaji, mwimbaji na mwandishi kutoka Tanzania. Anajulikana zaidi kwa kucheza Nhwale katika filamu ya mapenzi ya mwaka 2019 Mr Local Man na kwa kuigiza Josephs katika mfululizo wa tamthilia ya mwaka 2021 JQ Knew That. Yeye ni mwanachama wa kundi la muziki la The Eastern Bandits. Joseph Quartzy anaandaa kipindi cha mazungumzo cha BTN, The Real Past Show ambacho amekiandaa kwa misimu mitatu sasa.

Shughuli za uandishi

[hariri | hariri chanzo]

Kama mwandishi, Josephs Quartzy[1] alianza kazi yake ya uandishi mnamo 2018 wakati bado alikuwa mwanafunzi wa shule ya upili(sekondari), akiandika vitabu kama vile New People in Codes, The World of Philosophy, Life's Telescope, na Malaika aliyepotea ambavyo havikufanya vizuri sokoni kwa sababu havikuwahi kuchapishwa wala kukaguliwa kwa viwango bora[2]. Mapema mwaka 2022, Josephs alishirikiana na mchapishaji na msambazaji kutoka India wakati aliweza kuandaa na kuchapisha vitabu kwa ubora wa juu. Josephs anaandika zaidi kuhusu masimulizi ya kufikirika kulingana na aina za hadithi za jumla, ingawa pia ameshughulikia aina za mapenzi,Filosofia pia tamthilia za kutisha[3].

Kazi za vitabu

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Mchapaji ISBN
2022 A Tale of an Intelligent Psychopath: Based on a True story Pencil Publishers ISBN 978-93-56104-98-3
2022 Irene: The Andromeda Pencil Publishers ISBN 978-93-56105-84-3
2022 A Blessed Curse Pencil Publishers ISBN 978-93-56670-88-4

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]

Hizi ni filamu ambazo mwigizaji Josephs Quartzy ameshiriki[4]

Mwaka Filamu Uhusika
2019 Mr. Local Man Nhwale
2020 Lucifer'e and the great Controversy Angeljoe
2019 Africa Ngowi
2019 NIGGA Dos
2020 Not so different Mwenyewe
2022 Homeboy Never Fails Ghetto boy/Yale

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]

Hizi ni Tamthilia ambazo Josephs Quartzy ameshiriki[5]

Mwaka Jina Uhusika Maelezo
Tangu 2019 The Real Past show Mtangazaji
2021-2022 JQ Knew That Josephs
2021 Big Brother-Nagwa neighbour sehemu ya kwanza

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. marcel (2021-05-20). "What is the secret behind Josephs Quartzy success? The secret is finally revealed". nick name (kwa Swiss High German). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-13. Iliwekwa mnamo 2022-10-13.
  2. "Why hunger For fame kills careers of most western young artists". Times of India Blog (kwa Kiingereza). 2022-01-24. Iliwekwa mnamo 2022-10-13.
  3. "A Tale of an Intelligent Psychopath eBook v. Josephs Quartzy". Weltbild (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2022-10-13.
  4. "Tanzanian movie star, Josephs Quartzy is set to be in a War ... | MENAFN.COM". menafn.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-13.
  5. "'JQ Knew That' Season 1 Official at ITV; Josephs Quartzy Joins Cast Once again". 'JQ Knew That' Season 1 Official at ITV; Josephs Quartzy Joins Cast Once again. Iliwekwa mnamo 2022-10-13.