Joseph Omotoye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Omotoye anajulikana kama Jojo Bodybeats, ni mwanamuziki wa nchini Nigeria hasa anajulikana kwa uwezo wake wa kutumia mwili wake kama chombo cha muziki kama vile mdomo, mashavu, kifua, tumbo, kichwa na miguu, pamoja na kucheua, kupiga chafya, kukohoa na kunywa. Omotoye ana uwezo wa kuzalisha sauti kwa kutumia mwili wake.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Beating his body to give others pleasure. punchng.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 11 September 2014. Iliwekwa mnamo 11 September 2014.
  2. [1]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Omotoye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.