Jordan Henderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jordan Henderson

Jordan Brian Henderson (alizaliwa 17 Juni 1990) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye ni nahodha wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Uingereza. Yeye hutumiwa kama kiungo wa kati ya klabu na nchi.

Henderson alianza kazi yake huko Sunderland mnamo 2008 kabla ya kuhamia Liverpool mwaka 2011,Tarehe 9 Juni 2011, Henderson alihamia Liverpool kwa ada isiyojulikana, iliyofikirika kuwa kati ya £ 16 na £ 20 milioni.

Alikuwa nahodha/kapteni wa Liverpool mwaka 2015 baada ya kustaafu kwa Steven Gerrard. Aliwakilisha nchi yake katika Euro 2012 na 2016, na Kombe la Dunia la FIFA la 2014.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jordan Henderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.