Jongezo

Nembo ya jongezo.
Katika uchapaji na utarakilishi, jongezo (kwa Kiingereza: indent au indentation) ni nafasi tupu inayoachwa mwanzoni wa kifungu. Jongezo hutumika sana katika lugha za programu kama Python, Javascript au Ruby.
Mfano wa jongezo[hariri | hariri chanzo]
Kifungu bila jongezo :
Wakazi wa Lamu waelekea kutoka
upande mmoja wa kisiwa hadi mwingine
kwa miguu, kwa kuwa hakuna magari ya
kusafiria kisiwani.
Kifungu chenye jongezo :
Wakazi wa Lamu waelekea kutoka
upande mmoja wa kisiwa hadi mwingine
kwa miguu, kwa kuwa hakuna magari ya
kusafiria kisiwani.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)