John Cale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Cale
John Cale playing the electric viola at a concert in Belgium, 2006.
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaJohn Davies Cale[1]
Amezaliwa9 Machi 1942 (1942-03-09) (umri 82)
Garnant, Carmarthenshire, Wales
Kazi yakeMwanamuziki, mtunzi wa ala za muziki, mwimbaji-mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi,
AlaSauti, viola, violin, gitaa, gitaa la besi, Organ, piano, harpsichord, Kinanda, harmonica, chelo, besi maradufu, mellotronia, celesta, na nyingine
Miaka ya kazi1965–hadi sasa
StudioSPY, Ze, Island, Reprise, Beserkley, A&M, Rhino, Domino, Double Six
Ameshirikiana naTheater of Eternal Music, The Velvet Underground, John Cage, Phil Manzanera, Nico, Lou Reed, Brian Eno, Kevin Ayers, Nick Drake

John Davies Cale (amezaliwa Garnant, Carmarthenshire, Welisi, Ufalme wa Muungano, 9 Machi, 1942) ni mtunzi wa ala za muziki, mtayarishaji wa rekodi, mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji.

Alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa rock la The Velvet Underground.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu akiwa peke yake[hariri | hariri chanzo]

Albamu za ushirika[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: