Johanna Brenner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Johanna Brenner ni mwanaharakati na mwanasosholojia wa nchini Marekani ambaye uandishi na mawazo yake yako katika ufeministi wa kijamaa.

Mhitimu wa chuo cha Reed (BA, 1964) na Chuo kikuu cha California, Los Angeles (MA, 1970; Ph.D., 1979), alitumia miaka minne kama fundi wa usakinishaji wa simu katika miaka ya 1970. Mnamo mwaka 1981 alianza kufundisha katika idara ya sosholojia katika Chuo kikuu cha jimbo la Portland huko Oregon, ambapo alifanya kazi kuanzia 1982 hadi 2005 kama mratibu wa programu yake women's studies. Sasa ni profesa mstaafu. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Portland State University Sociology department website. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-06-04. Iliwekwa mnamo 2022-03-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Johanna Brenner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.