Joana Maduka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joana maduka
Amezaliwa 6 Mei 1941
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mhandisi

'Maandishi ya koozeJoana Maduka (amezaliwa 6 Mei 1941) ni mhandisi wa nchini Nigeria. Alikuwa ['Maandishi ya kooze[mwanamke]] wa kwanza kwenye Baraza la usimamizi wa uhandisi nchini Nigeria (COREN)mnamo mwaka 1974.[1] Pia ni mwahandisi wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme, mwahandisi kwenye jamii nchini Nigeria na mwandisi katika Chuo cha Uhandisi cha Nigeria.[2] Ni mshiriki anaye heshimiwa kwenye taasisi ya sayansi na teknolojia nchini Nigeria mnamo mwaka 1987 na kwenye Chuo cha Teknolojia cha Yaba mnamo mwaka 1988. Aliheshimiwa kama Mwanachama wa federal republic mnamo mwaka 2008.[3] Yeye ndiye Rais wa kwanza wa kike wa COREN.[4]

Maisha na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Maduka alizaliwa mnamo Mei 6, 1941 huko Ilesha, katika jimbo la Osun.[5] Yeye ni mtoto wa kwanza wa Mr. Daniel Dada na Olufunmilayo Layinka.[3] Alikwenda Shule ya methodist huko Otapete kwa ajili ya elimu ya msingi. Alisomea Shule ya Wasichana ya 'ethodist kisha akaenda katika Shule ya Queen mnamo mwaka 1955.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Engr Mrs Maduka Mfr | APWEN". apwenlagos.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-23. Iliwekwa mnamo 2020-05-25.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Laze; Amana, Destiny. "The Nigeria Academy of Engineering Fellows Profile :: promoting excellence in technology and engineering training and practice to ensure the technological growth and economic development of Nigeria". www.nae.org.ng (kwa English). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2020-05-25.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. 3.0 3.1 Amana, Destiny. "The Nigeria Academy of Engineering Fellows Profile :: promoting excellence in technology and engineering training and practice to ensure the technological growth and economic development of Nigeria". www.nae.org.ng (kwa English). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-16. 
  4. "Joanna MADUKA – Legacy Way". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-03-16. 
  5. legacyway. "Joanna MADUKA – Legacy Way" (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-27. Iliwekwa mnamo 2020-05-26.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joana Maduka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.