Nenda kwa yaliyomo

Joakim Mæhle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joakim Mæhle Pedersen (alizaliwa 20 Mei 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Udeni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Joakim Mæhle – Atalanta". web.archive.org. 2021-01-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-22. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joakim Mæhle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.