Yei River (jimbo)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Yei River)
Yei River State | |
Mahali pa Yei River katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Yei[1] |
Idadi ya kaunti | 10 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | David Lokonga Moses |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 788,610 |
Yei River State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 10: Kindi County, Otogo County, Tore County, Wuji County, Yei River County, Morobo County, Kajo-Keji County, Kupera County na Lainya County.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Machar forces easily defeat SPLA troops at Uganda border". The Red Times. 10 Agosti 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-18. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yei River (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |