Jesús Arturo Esparza
Mandhari

Jesús Arturo Esparza (alizaliwa Agosti 1990)[1] ni mwanariadha wa mbio ndefu wa Mexico. Mwaka 2020, alishindana kwenye mbio za wanaume katika michuano ya riadha nusu marathoni duniani mwaka 2020 iliyofanyika Gdynia, Polandi.[2]
Mwaka 2017 aliiwakilisha Meksiko kwenye mashindano ya 2017 Summer Universiade yaliyofanyika Taipei, Taiwan, katika tukio la nusu marathoni kwa wanaume.[3] Akamaliza akishinda nafasi ya 23.[3]
Alishindana marathoni ya wanaume kwenye olimpiki ya majira ya joto mwaka 2020 katika jiji la Tokyo, Japani.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ College Athletics and the Law. 17 (8). 2020-11-01. doi:10.1002/catl.v17.8. ISSN 1552-8774 http://dx.doi.org/10.1002/catl.v17.8.
{{cite journal}}: Missing or empty|title=(help) - ↑ Competitive effectiveness in 50 km skiing marathon at winter Olympic Games and World Championships during the whole period of their organization (since 1924 till 2019). 2020-06-25 http://dx.doi.org/10.14526/2070-4798-2020-15-2-9-16.
{{cite journal}}: Missing or empty|title=(help) - 1 2 "Original PDF". dx.doi.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-03.
- ↑ "Los socios para el desarrollo consideran que las evaluaciones mutuas son eficaces". dx.doi.org. 2020-05-13. Iliwekwa mnamo 2021-10-03.