Jehan Sadat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jehan Sadat
Amekufa 2021
Nchi Misri
Kazi yake Mwandishi
Ndoa Ameolewa
Mahusiano Mke wa rais
Picha ya Jedan Sadat

Jehan Sadat[1] (kwa Kiarabu: جيهان السادات Jihān as-Sadāt,[2] [ʒeˈhæn es.sæˈdæːt]; née Safwat Raouf; 29 Agosti, 1933[3] - 9 Julai, 2021[4]) alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu wa Misri, na mke wa rais wa Misri aliyeongoza miaka ya 1970 mpaka pale alipokuja kutolewa mwaka 1981. Akiwa mke wa raisi alishawishi sana mageuzi ya sheria juu ya haki za kiraia nchini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-10. Iliwekwa mnamo 2022-03-04. 
  2. ���������� ������������ (1993). [https://www.worldcat.org/title/zhihan-al-sadat-al-marah-allati-hakamat-misr/oclc/029815510 Zhi��ha��n al-Sada��t: al-mar��ah allati�� h��akamat Mis��r!] (kwa Arabic). Cairo: �������������� ������������. OCLC 029815510. 
  3. ���������� ������������ (1993). [https://www.worldcat.org/title/zhihan-al-sadat-al-marah-allati-hakamat-misr/oclc/029815510 Zhi��ha��n al-Sada��t: al-mar��ah allati�� h��akamat Mis��r!] (kwa Arabic). Cairo: �������������� ������������. OCLC 029815510. 
  4. "Jehan Sadat dies at age 88 after battle with illness". Al Arabiya English (kwa Kiingereza). 2021-07-09. Iliwekwa mnamo 2022-03-04. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jehan Sadat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.