Jedars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makaburi ya Djeddars huko Frenda wilaya de Tiaret 14

Jedars (kwa tahajia ya Kifaransa: Djeddars) ni makaburi kumi na tatu ya Waberber yaliyoko kusini mwa mji wa Tiaret nchini Algeria. Jina hilo limetokana na Kiarabu: جدار jidār (ukuta), ambayo hutumiwa kutaja magofu ya kale. Makaburi haya ya kabla ya Uislamu ni ya zamani za kale katika karne ya 4 hadi karne ya 7.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Unless otherwise indicated, information has been taken from Kadra's (1983) publication, which is the most detailed archaeological work on the subject. See also LaPorte (2005) who supplies some information omitted from Kadra's work as published.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jedars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.