Jean Kerebel
Mandhari
Jean-Baptiste Kerebel (2 Aprili 1918 – 9 Machi 2010) alikuwa mwanariadha wa Ufaransa,alizaliwa mjini Paris. Alishiriki katika mbio za mita 400. Alishiriki Ufaransa kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto mwaka 1948 iliyofanyika London, Uingereza, ambapo alishinda medali ya fedha katika mbio za kupokezana za mita 4 x 400 za wanaume na wachezaji wenzake François Schewetta, Robert Chef d’Hotel, na Jacques Lunis.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jean Kerebel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |