Jacques Bonjawo
Mandhari
Jacques Bonjawo, (alizaliwa 30 Desemba 1960 huko Yaoundé ) ni mhandisi wa programu, mwandishi wa programu za matumizi ya teknolojia kwa maendeleo endelevu . Jacques anajulikana sana kwa kazi yake ya Microsoft mwaka 1997-2006 alipokua kama meneja mkuu wa programu wa Kundi la MSN. Kazi yake ya awali ilijumuisha pia kufanya kazi PricewaterhouseCoopers kama meneja wa IT na mshirika mkuu. Amekua akizungumza katika taasisi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Chuo Kikuu cha Harvard, Benki ya Dunia, na vikao vingine vya kimataifa. Kitabu chake cha hivi punde zaidi "L'Afrique du XXIe Siècle" (Afrika katika Karne ya 21) kiko katika orodha ya 5 zinazouzwa zaidi huko Karthala, mchapishaji wa Paris.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Wasifu wa Jacques Bonjawo kwenye Tovuti ya Chuo Kikuu cha Harvard Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Na Jim Krane, Associated Press
- Safu za Jacques Bonjawo katika jarida la African Geopolitics
- Safu za Jacques Bonjawo katika jarida la kila wiki la Economie Matin
- Makala ya Olivier Magnan
- Mahojiano ya Patrick Chompre na Caroline Lachowsky
- Mahojiano ya TV5 na Xavier Lambrechts
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jacques Bonjawo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
}