Iván Duque Márquez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iván Duque Márquez (amezaliwa 1 Agosti 1976) ni mwanasiasa na mwanasheria wa Kolombia ambaye ni Rais wa sasa wa nchi, madarakani tangu tarehe 7 Agosti 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iván Duque Márquez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.