Itifaki ya Kidhibiti Peleshi

Mfululizo wa maendeleo ya IKP.
Katika utarakilishi, Itifaki ya Kidhibiti Peleshi (kifupi: IKP; kwa Kiingereza: Transmission Control Protocol au TCP) ni itifaki muhimu ya IKP/Itifaki ya Tovuti.
IKP inaruhusu upelekaji salama wa baiti.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).