Ismahil Akinade
Ismahil Akinade (alizaliwa 11 Februari 1994) ni mchezaji wa kandanda kutoka Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu Malaysia, Kelantan.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Bray Wanderers Akinade alianza maisha yake ya soka akiwa klabu ya vijana wa umri chini ya miaka 19 Athletic ya St Patrick (akikaa benchi kikosi cha kwanza mara moja kama mchezaji wa akiba ambaye hajatumika) kabla ya kuhamia klabu ya Bray Wanderers ambako alipendwa sana na mashabiki na kushinda tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka wa klabu hiyo msimu wa 2013
Masuala ya kisheria
[hariri | hariri chanzo]Iliripotiwa mnamo Oktoba 2014 kwamba Akinade na watu wengine wawili walikuwa wamepokea hukumu zilizosimamishwa kwa unyanyasaji wa kingono kumuhusisha msichana wa miaka 14 huko Kildare mnamo mwaka 2010. [1][2]
Maisha Binafsi
[hariri | hariri chanzo]Akinade ni binamu wa Fuad Sule, ambaye pia ni mwanasoka wa kulipwa. [3]
Takwimu Za Ushiriki
[hariri | hariri chanzo]Hadi mechi iliyochezwa tarehe 14 Aprili 2023
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Bohemians
- Kombe la Wakubwa la Leinster: 2015–16
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Three men sentenced for sexual abuse of teenage girl", Irish Times, 31 October 2014. Retrieved on 6 August 2015. Archived from the original on 2.
- ↑ "Three Kildare men sentenced for sex abuse of teenage girl", Irish Examiner, 31 October 2014. Retrieved on 6 August 2015. Archived from the original on 2.
- ↑ "'We owe our mum everything and I'm trying to make a career out of football to pay her back'". 25 Mei 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 21 Oktoba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Ismahil Akinade katika Soccerway
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ismahil Akinade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |