Nenda kwa yaliyomo

Irin Carmon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carmon mnamo 2015

Irin Carmon ni mwandishi wa habari na mtoa maoni wa nchini Marekani mwenye asili ya Israeli [1]. Ni mwandishi mkuu katika jarida la New York Magazine, [2] na mchangiaji wa CNN . [3] Pia ni mwandishi mwenza wa Notorious RBG: The Life and Times of Ruth Bader Ginsburg. Hapo awali, alikuwa mwandishi wa habari wa kitaifa katika MSNBC, akizungumzia wanawake, siasa, na utamaduni katika tovuti. Alikuwa mfanyabiashara mgeni katika mpango wa utafiti wa haki ya uzazi katika shule ya sheria ya Yale . [4]

Mnamo mwaka 2011, alitajwa kuwa mmoja wa gazeti la Forbes ' "30 under 30" [5] kwenye vyombo vya habari na kuangaziwa katika jarila la New York Magazine kama wanaharakati wadogo. Alipokea tuzo ya Sidney award ya Novemba 2011 kutoka kwa taasisi ya The Sidney Hillman Foundation kwa kutambua kuripoti kwake kuhusu Mississippi Personhood Initiative for Salon. [6] Mediaite alimtaja miongoni mwa wanne katika tuzo yake ya mchambuzi bora wa TV mwaka 2014.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Carmon ni Myahudi [7] na alizaliwa nchini Israeli, mjukuu wa Wazayuni walioishi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia . [8] Alikulia kwenye kisiwa cha Long. [9] Yeye ni raia wa Marekani. [10]

  1. "Irin Carmon". Twitter.
  2. "Irin Carmon Joins New York Magazine As Senior Correspondent". New York Magazine. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "'Notorious RBG' Author Irin Carmon Hired by CNN as Contributor". The Wrap. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Irin Carmon - MSNBC". MSNBC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-01. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Bercovici, Jeff. "Media". Forbes Magazine. Iliwekwa mnamo 2 Januari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Irin Carmon Wins November Sidney Award - Hillman Foundation". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Desemba 2011. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "I'm a Jew". Twitter (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-21.
  8. "Helen Thomas: When An Icon Disappoints". Retrieved on 2022-03-12. Archived from the original on 2016-12-20. 
  9. "Good Enough To Eat Meet: Say Hello To Our Newest Ladyblogger". Retrieved on 2022-03-12. Archived from the original on 2016-12-20. 
  10. [1], Twitter.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irin Carmon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.