Mlakasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ipomoea pes-caprae)
Mlakasa
(Ipomoea pes-caprae)
Mlakasa kwa pwani
Mlakasa kwa pwani
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Convolvulaceae (Mimea iliyo na mnasaba na kiazi kitamu)
Jenasi: Ipomoea
L.
Spishi: I. pes-caprae
(L.) R.Br.

Mlakasa au majani ya mwaka (Ipomoea pes-caprae) ni mmea wa familia Convolvulaceae unaokua kwa pwani za ukanda wa tropiki. Majani hutumika kama dawa tepetepe ya kubandika dhidi ya shida za ngozi k.m. macheraka, majipu, virugu, marugurugu na vidonda.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlakasa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.