Inácio de Azevedo
Mandhari
Inácio de Azevedo, S.J. (1526 – 1570) alikuwa mmisionari Mjesuiti kutoka Ureno huko Brazil.
Ni mmoja wa Mashahidi Arobaini waliouawa na Wakalvini karibu na visiwa vya Kanari.
Walitangazwa wenye heri na Papa Pius IX mnamo 1854.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Costa, SJ, Manuel G. da (1946). Inácio de Azevedo, o Homem e o Mártir da Civilização do Brasil. Braga (Portugal): Livraria Cruz. ku. 22, 29, 292, 293, 331, 343, 427, 475. OCLC 2305684.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |