Ibuki Hara
Mandhari
Ibuki Hara (alizaliwa 30 Juni 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya MyNavi Sendai Fc inayoshiriki ligi ya WE.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Scoresheet" (PDF). weleague.jp.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ibuki Hara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |