Ibtissem Ben Mohamed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ibtissem Ben Mohamed (alizaliwa 1 Julai 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya Al Wehda ya Saudia na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "habari tatweeg", 1 October 2021. Retrieved on 19 October 2021. (ar) 
  2. "Machi dhidi United Arab Emirates vs Tunisia - 2021-10-06 - FIFA Friendlies - Women". Global Sports Archive. Iliwekwa mnamo 19 October 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibtissem Ben Mohamed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.