Nenda kwa yaliyomo

Ibaki Story

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Ibaki Story”
“Ibaki Story” cover
Kava ya Ibaki Story
Single ya Rich Mavoko
Imetolewa 2 Juni, 2016
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2016
Aina Afro pop, Bongo Flava
Urefu 3:41
Studio WCB
Mtunzi Rich Mavoko
Mtayarishaji Tudd Thomas
Laizer Classic
Mwenendo wa single za Rich Mavoko
"Pacha Wangu"
(2014)
"Ibaki Story"
(2016)
"Kokoro"
2016

"Ibaki Story" ni jina la wimbo uliotoka 2 Juni, 2016 wa msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania - Rich Mavoko. Huu ndio wimbo wa kwanza kutolewa tangu kujiunga rasmi na WCB.

Wimbo umetayarishwa na watayarishaji wawili tofauti. Awali ulifanywa nusu na Tudd Thomas ukaja kumaliziwa na Laizer Classic katika studio za Wasafi Records. Video yake iliongozwa na Niki kutoka Afrika Kusini. Ndiye aliyeongoza Kokoro, Bado, Watora Mari, Salome, Unaionaje.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]