Nenda kwa yaliyomo

Ian Maatsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ian Maatsen (alizaliwa 10 Machi 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uholanzi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ian Maatsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.