Hussein Javu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hussein Javu
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 10 Agosti 1991
Mahala pa kuzaliwa    Morogoro, Tanzania
Urefu 1.72 m
Nafasi anayochezea Mshambuliaji
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Hussein Javu, (alizaliwa 10 Agosti 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania, ambaye anacheza kama mshambuliaji.

Amechezea vilabu mbalimbali nchini Tanzania ikiwa ni pamoja, JKT Ruvu Stars(2009 - 2010), Mtibwa Sugar(2010 - 2013, 2015 - 2019), Young Africans SC(2013 - 2015), Ndanda FC(2019 - 2023).[1]

Pia Javu alishiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa, akichezea Timu ya Taifa ya Tanzania ikiwa ni pamoja na michuano ya Fainali za Kombe ya CECAFA 2011.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Hussein Javu (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "CECAFA Cup (2011) | Final Tournament | Semi Finals". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hussein Javu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.