Hospitali ya Kibosho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Kibosho ilianza kama zahanati mwaka 1929 ikiwa ina hadhi ya hospitali ya kata. Hospitali imemilikiwa chini ya uongozi wa Dayosisi ya Moshi kwa sasa ni hospitali ya wilaya ikiwa uwezo wa vitanda 180. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]