Hilda Kisoka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hilda Kisoka ni mkurugenzi wa The Purple Planet [1], shirika lisilo la kiserikali na lisilenga faida.[2]

Tarehe 7 Aprili 2018 katika ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Hilda Kisoka alitunukiwa tuzo kama mwanamke mwenye ushawishi mkubwa Tanzania.[3]

Pia ni miongoni mwa wanawake wanamaendeleo ambapo anawataka wanawake waache kulalamika, waangalie soko kiundani, pia kuchukua fursa na kuitekeleza.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]