Hilary Onek
Mandhari
Hilary Obaloker Onek, (alizaliwa Mei 5, 1948) ni mhandisi na mwanasiasa wa Uganda. Ni Waziri wa sasa wa misaada, majanga na wakimbizi katika baraza la mawaziri la Uganda.[1] Aliteuliwa katika nafasi hiyo tarehe 27 Mei 2013. Alichukua nafasi ya Tarsis Kabwegyere. Kabla ya hapo, Hilary Onek aliwahi kuwa waziri wa nishati na madini, kutoka 16 Februari 2009 hadi 27 Mei 2011. Kabla ya hapo aliwahi kuwa Waziri wa Uganda wa Kilimo, sekta ya wanyama na uvuvi kutoka mwaka 2006 hadi 2009. Pia ni mbunge aliyechaguliwa kuwakilisha kaunti ya Lamwo, Wilaya ya Lamwo. Alichaguliwa kuwa mbunge mwaka 2001.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Baguma, Raymond (25 Machi 2014). "Uganda To Negotiate Return of Refugees". New Vision. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-26. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Parliamentary Page of Hilary Obaloker Onek at Parliament.go.ug". Parliament of Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2014.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hilary Onek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |