Hifadhi ya Taifa ya Lobéké

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mwonekano wa hifadhi ya Taifa ya Lobéké
Picha ya Mwonekano wa hifadhi ya Taifa ya Lobéké

Hifadhi ya Taifa ya Lobéké, ni mbuga ya taifa iliyopo kusini mashariki mwa Kamerun ndani ya Mkoa wa Mashariki . [1]

Ipo katika Bonde la Kongo, inapakana upande wa mashariki na Mto Sangha ambao unatumika kama mpaka wa kimataifa wa Kamerun na Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kongo . [2]

Pia ipo karibu na hifadhi zingine mbili huko CAR na Kongo. Upande wa kaskazini-magharibi kuna Mbuga ya taifa ya Boumba Bek, mbuga nyingine za taifa katika Mkoa wa Mashariki wa Kamerun. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Curran, Bryan K. "Strategic Planning For Conservation Management Options In The Lobeke Region, Southeastern Cameroon". World Wildlife Fund. Iliwekwa mnamo 18 September 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Important Bird Area factsheet: Lobéké National Park, Cameroon". BirdLife International. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 August 2013. Iliwekwa mnamo 18 September 2010.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. Nelson, John. "Cameroon: Baka Losing Out to Lobéké and Boumba National Parks". World Rainforest Movement. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 December 2010. Iliwekwa mnamo 18 September 2010.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Lobéké kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.